Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
Mafanikio katika bidhaa mbalimbali

Mafanikio yaliyopatikana baada ya kuanzishwa kwa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala ni pamoja na (i) ongezeko la bei za mazao, mapato ya mkulima na mapato ya Serikali kutokana na urasimishaji, (ii) ongezeko la uzalishaji wa mazao kwa mwaka, (iii) kichocheo cha ubora wa mazao yanayofikishwa sokoni, (iv) upatikanaji wa takwimu sahihi za mazao yanayopita kwenye Mfumo wa Stakabadhi za Ghala, (v) ongezeko la mapato ya uhakika kwa Serikali Kuu na Serikali Mitaa, (vi) kukuza huduma za fedha vijijini, kufanikisha uanzishaji wa Soko la Bidhaa Tanzania. 

Mafanikio katika bidhaa mbalimbali