Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Stakabadhi za Ghala (WRRB)
16 Feb, 2026
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Stakabadhi za Ghala (WRRB)

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Stakabadhi za Ghala (WRRB) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Bodi Februari 14, jijini Dar es Salaam.

Kikao hicho kimeendelea kuimarisha misingi ya uwajibikaji, usimamizi bora na utekelezaji madhubuti wa majukumu ya Bodi katika kusimamia sekta ya stakabadhi za ghala nchini kwa manufaa ya wakulima, wafanyabiashara na wadau wote.