Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
Bodi ya WRRB Yapitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27 Kuimarisha Maendeleo na Utoaji wa Huduma
22 May, 2026
Bodi ya WRRB Yapitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27 Kuimarisha Maendeleo na Utoaji wa Huduma

Leo Mei 21, 2026, Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za ghala (WRRB) imefanya kikao maalum cha kujadili na kupitia bajeti kwa mwaka wa fedha 2026/27 kwa lengo la kuhakikisha utekelezaji mzuri wa shughuli na mipango mbalimbali ya maendeleo ya taasisi. Kikao hicho kimehusisha wajumbe wa bodi pamoja na menejimenti ya taasisi ambapo walijadili vipaumbele vya bajeti mikakati ya kuongeza ufanisi pamoja na kuendelea kuboresha huduma kwa wadau wake.

slot gacor