Mdau wa Sekta ya Kilimo Ajifunza Fursa za Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye Maonesho ya Nanenane 2026
06 Aug, 2026
📍Dodoma
Mdau wa sekta ya kilimo, Bi. Doreen Magesho, akipata elimu kuhusu fursa zilizopo kwenye Mfumo wa Stakabadhi za Ghala alipotembelea banda la Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) katika Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayoendelea kwenye Viwanja vya Dkt. John Malecela, jijini Dodoma.
