Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
MWENYEKITI WA KAMATI ATOA MAAGIZO KWA WAHITIMU WA MAFUNZO YA STAKABADHI ZA GHALA.
12 Jul, 2025
MWENYEKITI WA KAMATI ATOA MAAGIZO KWA WAHITIMU WA MAFUNZO YA STAKABADHI ZA GHALA.

Dodoma, Juni 28, 2025 — Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma ya Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala, Bw. Godwin Mkanwa, amewataka wahitimu wa mafunzo ya mfumo wa Stakabadhi Ghalani kufanya kazi kwa uwazi, tija na ufanisi ili kujenga imani kwa wakulima.