Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
Viongozi wa FCC na WMA Watembelea Banda la WRRB katika Maonesho ya 33 ya Nane Nane
09 Aug, 2026
Viongozi wa FCC na WMA Watembelea Banda la WRRB katika Maonesho ya 33 ya Nane Nane

📍Dodoma,Tanzania.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu kutoka Wakala wa Vipimo (WMA), Bw. Alban Kihulla leo tarehe 08 Agosti 2026 wametembelea banda la Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kwenye Maonesho ya 33 ya wakulima NaneNane yanayoendelea katika viwanja vya Dkt John Malecela,Nzuguni Dodoma .

slot gacor