Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Atembelea Banda la WRRB Katika Maonesho ya Nane Nane 2026
09 Aug, 2026
📍Dodoma,Tanzania.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bw. Ephraim Balozi Mafuru, leo tarehe 08 Agosti 2026 ,Siku ya Wakulima Duniani NaneNane ametembelea banda la Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) katika Viwanja vya John Marecela Nzuguni Jijini Dodoma.
