Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
MKURUGENZI MTENDAJI WA WRRB AKUTANA NA WAKULIMA WA MOROGORO KUSINI KUJADILI UZALISHAJI, MASOKO NA FURSA ZA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA
17 Feb, 2026
MKURUGENZI MTENDAJI WA WRRB AKUTANA NA WAKULIMA WA MOROGORO KUSINI KUJADILI UZALISHAJI, MASOKO NA FURSA ZA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Bw. Asangye Bangu leo tarehe 16 Februari 2026 jijini Dodoma, amekutana na wakulima wa zao la ufuta na mbaazi kutoka Jimbo la Morogoro Kusini na kujadili changamoto za uzalishaji na masoko ya mazao hayo pamoja na fursa za kutumia mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS) kwa lengo la kuongeza thamani na kipato cha mkulima.

Ushirikiano kati ya wafanyabiashara wa mazao ya kilimo na taasisi za Serikali ni chachu ya maendeleo na uchumi wa taifa.