Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
TANZIA
22 Nov, 2022
TANZIA

Bw. James Sunday Mbano alijiunga na Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala , Mwezi Disemba 2013 akitokea Wizara ya Viwanda na Biashara.Mpaka Umauti unamkuta, Marehemu ameitumikia Bodi kwa muda wa miaka 9.Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi.