Wananchi waendelea kupata elimu ya mfumo wa Stakabadhi za ghala Katika Maonesho ya Nane Nane Dodoma
07 Aug, 2025

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala inaendelea kutoa elimu juu ya mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwa wananchi mbalimbali wanaotembelea banda lao katika Maonesho ya Wakulima (Nane Nane) yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma.