Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
TUTAZIDI KUBORESHA MIFUMO YA STAKABADHI ZGHALANI AMBAYO IMEANZA KUSAIDIA WAKULIMA WA MAZAO MBALIMBALI IN ENGLISH
16 Nov, 2025
TUTAZIDI KUBORESHA MIFUMO YA STAKABADHI ZGHALANI AMBAYO IMEANZA KUSAIDIA WAKULIMA WA MAZAO MBALIMBALI IN ENGLISH

Aidha, tutazidi kuboresha mifumo ya stakabadhi ghalani ambayo tayari imeanza kuwaletea manufaa wakulima wa mazao mbalimbali yaliyojumuishwa kwenye mfumo huo. Katika kupanua masoko yetu nje na kutumia fursa za diplomasia yetu ya uchumi, tutaendelea kuyatumia masoko ambayo tayari tumeshafungua, na tutahakikisha kuwa fursa hizi zinakuwa na makubaliano yanayotekelezeka ili kuwa na uhakika wa masoko hayo. Hapa tunakusudia masoko ya mbaazi, choroko na ufuta, ili kupata masoko ya uhakika kwa mazao hayo.
(Sehemu ya Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika ufunguzi wa Bunge la 13.)