Mkurugenzi wa Huduma Saidizi wa Wakala wa Vipimo (WMA) Atembelea Banda la WRRB kwenye Maonesho ya Nanenane 2026
06 Aug, 2026
Mkurugenzi wa Huduma Saidizi, Wakala wa Vipimo (WMA), Christopher Mwakibinga, akipata maelezo baada ya kutembelea banda la Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala(WRRB) katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea kwenye viwanja vya Dkt.John Malecela Nzuguni jijini Dodoma kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala huo, Alban Kihulla.
