Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
BODI YA WAKURUGENZI YA WRRB YAFANYA KIKAO CHA ROBO YA NNE 2025/2026
22 Aug, 2025
BODI YA WAKURUGENZI YA WRRB YAFANYA KIKAO CHA ROBO YA NNE 2025/2026

BODI YA WAKURUGENZI YA WRRB YAFANYA KIKAO CHA ROBO YA NNE 2025/2026

Bodi ya Wakurugenzi ya WRRB imekutana tarehe 20 Agosti 2025 katika makao makuu yake kwa ajili ya kikao cha kawaida cha robo ya nne 2025/2026.

Kikao hicho kililenga kupitia utekelezaji wa mpango kazi na bajeti ya taasisi kwa kipindi cha robo ya kwanza, pamoja na kujadili changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika utekelezaji wa majukumu yake.

Aidha, Bodi ilipokea taarifa ya utekelezaji wa maamuzi ya vikao vilivyopita na kuweka mikakati mipya ya kuimarisha usimamizi na utendaji, ili kuhakikisha malengo ya taasisi kwa mwaka wa fedha huu yanafikiwa kwa ufanisi.

Bodi pia imeazimia kuendelea kusimamia kwa karibu utekelezaji wa miradi na mipango ya maendeleo, sambamba na kuboresha mifumo ya ufuatiliaji na tathmini ili kuongeza uwajibikaji