Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
**MKURUGENZI MTENDAJI WA WRRB, BW. ASANGYE BANGU, ASHIRIKI MBIO ZA NBC DODOMA MARATHON KUKUZA AFYA NA USTAWI WA JAMII**
27 Jul, 2026
**MKURUGENZI MTENDAJI WA WRRB, BW. ASANGYE BANGU, ASHIRIKI MBIO ZA NBC DODOMA MARATHON KUKUZA AFYA NA USTAWI WA JAMII**

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, leo Julai 26, 2026 ameshiriki mbio za NBC Dodoma Marathon zilizoongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, jijini Dodoma.

Ushiriki huo unaonesha dhamira ya WRRB kuunga mkono jitihada za kuhamasisha afya, ustawi wa jamii na mshikamano kupitia michezo.

slot gacor