Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala

WCF Logo
WRRB YATOA MAFUNZO YA KUJENGA UWEZO KWA WATUMISHI WAKE MOROGORO
10 May, 2026
WRRB YATOA MAFUNZO YA KUJENGA UWEZO KWA WATUMISHI WAKE MOROGORO

Leo Mei 7, 2026, Kaimu Mkurugenzi wa Uratibu Huduma kutoka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Thomas Mwita, amefungua kikao cha mafunzo kwa watumishi wa Bodi hiyo yaliyofanyika katika Hotel ya  Morena, mkoani Morogoro. Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo watumishi katika utekelezaji wa majukumu yao kwa ufanisi zaidi.

Mafunzo hayo yalihusu masuala ya HIV/AIDS na magonjwa yasiyoambukiza, maadili, kuzuia na kupambana na rushwa, afya ya akili, elimu ya fedha pamoja na matumizi na utunzaji sahihi wa kumbukumbu na nyaraka.

Kupitia mafunzo hayo watumishi wamehimizwa kuzingatia maadili ya kazi, kulinda afya zao pamoja na kutumia elimu waliyoipata kuongeza tija katika utoaji wa huduma ndani ya taasisi.

slot gacor